Breaking News
recent

GORI SABA MECHI MOJA: HAT TRICK YAKWANZA YAPATIKANA LEO ASUBUHI, DONBOSCO


INTER-CLASS COMPETITION ON FIRE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

 Naweza nikasema hivyo kutokana na kile nilicho shuhudia katika viwanja vya DonBosco. Leo Uwanjani kulikuwa na michezo miwili kwa pamoja kutoka GROUP A na mmoja kutoka GROUP B. Ambapo Grop A ilikuwa ni mechi kati ya ENVIRONMENT Vs COMMUNITY Ambapo Katika kipindi cha kwanza COMMUNITY walipata bao safi kutoka kwa KANJA na baadae likalipwa na ENVIRONMENT kupitia mchezaji mahiri kabisa ABDILLAH. Then Community wakapata penati na KANJE akapiga gori la pili nakufanya timu ya COMMUNITY iongoze katika kipindi cha kwanza. Katika kipindi cha pili ENVIRONMENT Walikuja vizuri na kusawazisha Bao kupitia ABDILLAH nakufanya mechi iishe kwa sare ya 2-2.

MECHI YA GROUP C 
Group C ilikuwa ni kati ya ECONOMICS Vs POPULATION. Hii mechi imeandika historia ya kuwa mechi yenye magori mengi tangu michuano ianze ambapo ni magori 7. Mechi ilianza na katika Dakika ya 3 ECONOMICS walipata bao safi kutoka kwa JOHANES na Dakika ya 12 POPULATION walisawazisha bao kupitia beki namba 2 aitwae SAMWELI, Katika kipindi hicho hicho cha pili ECONOMICS walipata penati na JOHANES kufunga gori lake la pili, lakini POPULATION nao hawakukubari kuachwa nao wakasawazisha gori kupitia J.JULIUS na Kipindi cha kwanza kuisha kwa sare ya 2-2.... Katika kipindi cha pili POPULATION walirudi kwa kasi na kupata Bao la kuongoza kupitia DAUD DAMAS Japokuwa lililipwa mapema sana baada ya ECONOMICS Kupata penati nakufanya mchezo uvae suti ya 3-3. Dakika za mwisho wa mchezo ECONOMICS walikuja tena na Kuweza kupata bao la ushindi kupitia Mchezaji mahiri kabisa, JORDAN na Mechi kuisha kwa matokeo ya ECONOMICS 4-3 POPULATION. Tuandikie maoni yako.

MECHI ZA BAADAE NI
Regional Vs Certificate
Urban Vs Human resource

KATIKA VIWANJA VYA DONBOSCO SAA:10:00 JIONI

Reported by
Eston T. Msigala
Katibu Mkuu Wizara ya Habari na Burudani (MISO)

No comments:

Powered by Blogger.