FINANCE WACHUKUA POINT 3 ZA MUHIMU MBELE YA DIPLOMA I. KUNANI DIPLOMA?
Haya sasa!!!! Leo tena Mashindano pendwa kabisa yameendelea katika viwanja vya MADINI. na Group B limeanza mechi yake yakwanza kati ya FINANCE Vs DIPLOMA I. Mechi ilianza rasmi Saa 10:34 Jioni Ambapo dakika yakwanza tuu ya mchezo FINANCE Walipata gori safi kutoka kwa "Matiku" Baada ya kupiga faulo ya kimataifa, Pia Matiku huyohuyo tena akarudia tena kufunga gori la pili dakika ya 12 nakuwafanya FINANCE waendelee kuongoza mechi. Baada ya dakika kadhaa DIPLOMA I walisawazisha Gori moja kutoka kwa "KINDAMBA" na Kipindi cha kwanza kuisha.
Kipindi cha pili kilianza nakuisha pasipo na timu yeyote kupata gori.
KESHO LIGI INAENDELEA KATIKA VIWANJA VYA DON BOSCO SAA 2:OO ASUBUHI
Kati ya Environment Vs Community AND Economics Vs Population
JIONI KESHO SAA 10:00
Regional Vs Certificate
Urbun Vs Human resource
WOTE MNAKARIBISHWA
Reported by
Eston T. Msigala
Katibu Mkuu Wizara ya Habari na Burudani (MISO)







No comments: